Skip to main content

Posts

Featured

BAFANA BAFANA WATINGA KOMBE LA DUNIA KIBABE

 Bafana Bafana yafanikiwa Kuungana na mataifa kama Algeria, Misri, Tunisia, Morocco, Cape Verde na Ghana Kufuzu kombe la Dunia 2026 nchini Marekani, Mexico na Canada Afrika Kusini yafuzu baada ya Kuongoza kundi C akiwa na alama 18, huku Nigeria wakishindwa Kufuzu wakimaliza kundi wakiwa na alama 17. 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: SOUTH AFRICA 3-0 RWANDA ⚽️ 05” Mbatha ⚽️ 26” Appollis ⚽️ 72” Makgopa ✍ Nanga Update 

Latest posts

MPANGO AHITIMISHA MBIO ZA MWENGE MBEYA.

SERIKALI YATANGAZA AJIRA MPYA 41,500

MATAIFA 21 YALIYOFUZU KOMBE LA DUNIA

MUSONDA KURUDI TANZANIA DECEMBER.

PACOME MACHOZI NA DAMU KUFUZU KOMBE LA DUNIA LEO.

MWIGULU NCHEMBA KUISAPOTI SIMBA SC.

TSHABALALA: NAFURAHIA MAISHA YA YANGA SC.

WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI HURU NA WA HAKI

CHINA KUWA MSHIRIKA WA UCHUMI ZANZIBAR

HABARI KUBWA MAGAZETI YA MICHEZO LEO.31.10.2024