MUSONDA KURUDI TANZANIA DECEMBER.

Imeripotiwa kwamba Klabu ya singida black stars imefanikiwa kumpata  mshambuliaji raia wa Zambia Kennedy Musonda (30)πŸ‡ΏπŸ‡²

Mshabuliaji huyo wa zamani wa Young Africans Sports Club  tayari ameshamalizana na Uongozi wa klab hiyo kwa kusaini kandarasi ya Club,

Pia Uongozi wa klabu ya Singida Black Stars tayari umeshamalizana na uongozi wa klabu yake (Musonda) ya hapoelrgg_fc ya Israel,

Musonda atarejea tena Tanzania mwezi December kuanza maisha mapya ndani ya Singida Black Stars iliyochini ya Muargentina Miguel Angel Gamondi.

Comments

Popular Posts