BAFANA BAFANA WATINGA KOMBE LA DUNIA KIBABE
Bafana Bafana yafanikiwa Kuungana na mataifa kama Algeria, Misri, Tunisia, Morocco, Cape Verde na Ghana Kufuzu kombe la Dunia 2026 nchini Marekani, Mexico na Canada
Afrika Kusini yafuzu baada ya Kuongoza kundi C akiwa na alama 18, huku Nigeria wakishindwa Kufuzu wakimaliza kundi wakiwa na alama 17.
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: SOUTH AFRICA 3-0 RWANDA
⚽️ 05” Mbatha
⚽️ 26” Appollis
⚽️ 72” Makgopa
✍ Nanga Update


Comments
Post a Comment