PACOME MACHOZI NA DAMU KUFUZU KOMBE LA DUNIA LEO.

Baada ya kupatikana kwa mataifa 6 kutoka Afrika yaliyofuzu kombe la dunia leo ndio mwisho wa mchakato huo kwa upande wa Afrika na zimebaki nafasi 3 kukamilisha nafasi 9 za moja kwa moja za bara hilo huku nafasi ya 10 ni ya kugombaniwa kwa mechi za mtaona zitakazohusisha na timu kutoka mabara mengine.


Katika ratiba ya leo mataifa ya Afrika Kusini, DR Congo, Ivory Coast, Senegal, Nigeria na Benin yana nafasi kubwa ya kufuzu. Pata ratiba ya mechi za leo 👇

16:00 Jioni  Ushelisheli vs Gambia

19:00 Usiku Algeria vs Uganda

19:00 Usiku  Guinea vs Botswana

19:00 Usiku  Nigeria vs Benin

19:00  Usiku  Somalia vs Msumbiji

19:00 Usiku  Afrika Kusini vs Rwanda

22:00 Usiku  DR Congo vs Sudan

22:00 Usiku  Gabon vs Burundi

22:00 Usiku  Ivory Coast vs Kenya

22:00 Usiku  Morocco vs Congo

22:00 Usiku  Senegal vs Mauritania


✍ @yasri_ibrahy


Comments

Popular Posts