(TCRA) Sheria ya umiliki wa laini moja tu ya simu, atakae kiuka faini Mil. 5


Sheria ya umiliki wa laini za simu imeanza kutumika Jana Julai Mosi 2020 ambapo inataka mtu amiliki laini moja kwa matando, na endapo atataka laini ya ziada, atatakiwa kuitolea maelezo. Atakayekiuka sheria hiyo adhabu ni faini TZS 5 milioni au kifungo jela cha miezi 12 jela au vyote kwa pamoja. Pia, atatozwa TZS 75,000 kwa kila siku ambayo laini ya ziada ilitumika.
.
.
#MakiniUpdate  

Comments

Popular Posts