Maalim Seif kugombea Urais Zanzibar


Mwenyekiti wa ACT WAZALENDO, Seif Sharif Hamad amekabidhiwa fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Hii itakuwa mara yake ya sita kugombea nafasi hiyo ambapo alianza kugombea katika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini, mwaka 1995.
.
.
#MakiniUpdate 

Comments

Popular Posts