Mwanamuziki KanyeWest ametangaza nia ya kugombea Urais nchini Marekani katika uchaguzi utakaofanyika Novemba 2020.
Katika uchaguzi wa mwaka 2016 Kanye alimuunga mkono Rais Donald Trump ambaye atagombea muhula wa pili, hivyo haijafahamika kama anatania au amenuia kufanya hivyo.
.
.
#MakiniUpdate
Comments
Post a Comment