Serikali yatoa Bil 122 kwa Wanafunzi wa vyuo.
#TANZANIA :- SERIKALI YATOA BIL 122 KWA WANAFUNZI WA VYUO, VYUO VITAVYO CHELEWESHA PESA HIZO KWA WANAFUNZI KUCHUKULIWA HATU
"Hakuna sababu ya kuwacheleweshea fedha wanafunzi wakati serikali imeshatoa Sh.bil 122.Rais alishatoa maelekezo na lazima yatekelezwe.Sasa ole wao vyuo vitakavyokuwa havijatekeleza agizo .Suala la wanafunzi kukataa kusaini siyo kweli, hatutakuwa na msalia mtume"Joyce Ndalichako
.
"Ifikapo Ijumaa wiki hii wanafunzi wote wa vyuo vikuu wawe wameshapata fedha zao za kujikimu, hatutakuwa na msamaha kwa vyuo ambavyo vitakuwa havijatekeleza agizo hilo"-Waziri wa elimu, Prof. Joyce Ndalichako .
.
"Kama kutakuwa na wanafunzi ambao watakuwa hawajasaini fedha za kujikimu achaneni nao, wapeni ambao wameshaini"-Waziri wa elimu, Prof. Joyce Ndalichako
.
#MakiniUpdate



Comments
Post a Comment