MAELEZO KAMILI YA WAZIRI KABUDI KUHUSU DAWA ALIYOFATA MADAGASCA



Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kuwa dawa ambayo nchi ya Madagascar imeitoa kama msaada wa Serikali ya Tanzania ni kwa ajili ya utafiti kwanza na sii kwa matumizi ya wananchi
.
.
"Madagascar sikwenda peke angu ila nilikwenda na wataalam waliobobea katika maeneo yote yaliyomuhimu katika eneo hili." - Waziri Prof. Kabudi
.
.
"Kazi kubwa tunayoianza leo ni kufanya uchambuzi na utafiti wa dawa hii, kabla ya kuona matumizi yake" - Waziri Prof. Kabudi
.
“Nataka kuwaambia Watanzania, hatukupewa dawa ya kunywa. Ni mimi tu nilikunywa kama shukrani…. Nataka niwaambie Watanzania, hatujaja na dawa ya kugawa leo..Nimepokea simu nyingi...jamani sina dawa,” amesisitiza Waziri Kabudi
.
.
Waziri Kabudi alisisitiza kuwa dawa ya corona aliyoifuata Madagascar itafanyiwa utafiti kwanza kabla ya Watanzania kuanza kutumia

#MakiniUpdate

Comments

Popular Posts