GAIRO :- SUKARI INAUZWA KWA BEI ELEKEZI
.#GAIRO :-
Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama nisipokushukuru Ndg. Majaliwa Chitembele muuzaji wa jumla wa sukari kwa kuwabeba wananchi wa Gairo kipindi hiki kigumu cha uhaba wa sukari.
Umeendelea kuuza sukari kwa kuzingatia bei elekezi, huo ni UZALENDO mkubwa.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Mchembe akiandamana na Kamati ya Usalama Wilaya wakikagua maghala ya sukari Gairo.
Tulikuomba uhakikishe sukari ya jumla inafika Vijijini na hilo ukalifanya kwa uaminifu. Kwa kweli nakupongeza sana.
Mhe. Mchembe aliwataka wafanyabiashara wote wa sukari Gairo kuwa WAZALENDO. Muuzaji mkubwa wa jumla amehakikisha mnapata faida kwa hiyo bei elekezi. Sitegemei mwenye duka kukaidi bei elekezi.
Pia Mhe. Mchembe amewataka wananchi kuwa watulivu kwani kauli ya Serikali mmeisikia. Uhaba wa sukari unaenda kuisha siku chache zijazo! Tuwe watulivu.
#MakiniUpdate

Comments
Post a Comment