China imefikisha siku ya kumi leo bila ongezeko la kifo cha mgonjwa wa corona kuripotiwa nchini humo, tangu China iliporekebisha takwimu zake na kuongeza vifo 1290 na kufikisha vifo 4632 hadi leo idadi ya vifo imeendelea kusalia hiyohiyo, China ina visa 82,818 na wamepona 77,663.
#MakiniUpdate
Comments
Post a Comment