RC KUSINI: Kila anayeingia kusini lazima apimwe
#MakiniUpdate
#KUSINI :- “Kuanzia leo tarehe 21/04/2020 tumeanza utaratibu maalum wa kupima kila mwananchi ambaye atakuwa anaingia mkoa wetu wa kusini,tayari tumeweka maafisa polisi,afya na vifaa kwa ajili ya kupima kila mmoja joto lake la mwili katika mipaka yote ya kimkoa lengo ni kubaini mapema dalili za corona” mkuu wa mkoa kusini mhe Ayoub Mahmoud

Comments
Post a Comment