Kichanga chaokotwa Arusha kikiwa na ujumbe
#Update
Mwili wa Mtoto mchanga akiwa amefariki umekutwa kwenye kibanda cha kuuzia chipsi Mkoani Arusha, huku kukiwa na ujumbe ambao umeandikwa ‘Gift of Rich’.
•
Faisal Makinda ni Mwenyekiti wa mtaa wa senovuno, Arusha amesema neno ‘Rich’ ambalo limetajwa huenda likawa ni la Richard, kijana ambaye yupo karibu na eneo hilo.

Comments
Post a Comment