Juhudi za chanjo ya corona duniani kote.
Umoja wa Mataifa umezindua juhudi za kimataifa za kutafuta chanjo ya virusi vya corona, hatua hii inakuja wakati huu ambapo idadi ya vifo Duniani imeongezeka na kufikia 197,895, visa vimefikia 2,844,437 na jumla ya wagonjwa 799,693 wamepona Duniani kote.
•
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ili kulitatua janga la corona ni lazima Mashirika ya kimataifa na viongozi wa ulimwengu waungane na sekta ya binafsi kutengeneza na kusambaza chanjo ya virusi vya corona.
#MakiniUpdate

Comments
Post a Comment