JPM atoa msamaha kwa wafungwa 3717.
Rais Magufuli amewatakia heri Watanzania katika kuadhimisha miaka 56 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais amewataka Watanzania kutumia siku ya kesho April 26 kuutafakari Muungano ulioasisiwa na Mwl Nyerere na Hayati Sheikh Abeid Karume pamoja na kumuomba Mungu aepushe corona.
•
Katika kuadhimisha miaka 56 ya Muungano, Rais Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 3973 ambapo kati yake, wafungwa 3717 wamesamehewa vifungo vyao na wafungwa 236 waliokuwa wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa hadi kufa wamebadilishiwa adhabu.
#MakiniUpdate



Comments
Post a Comment