TAHADHARI YA UGONJWA WA CORONA.


Viongozi wa vyama vya siasa na wa serikali wakiongozwa na Rais Dk. John Joseph Magufuli, wakisaliana na kuagana bila kushikana viganja vya mikono ikiwa ni utii wa agizo la wazili wa afya Mh. Ummy Mwalimu ikiwa ni tahadhari ya kujikinga na virusi vya #CORONA ambavyo vinazidi kuenea katika baadhi ya nchi duniani.

Hata hivyo kwa mujibu wa wizara ya afya wazili Ummy Mwalimu amesema mpaka sasa hakuna mtanzania yeyote aliyeonekana na dalili za ugonjwa huo na hata wageni wanaoingia nchini kutoka mataifa mbalimbali hufanyiwa vipimo maalumu kabla ya kuruhusiwa ama kutoka uwanja wa ndege.


Comments

Popular Posts