Skip to main content
LIPUMBA: HATUTASUSIA TENA UCHAGUZI NCHINI
#siasa
LIPUMBA: HATUTASUSIA TENA UCHAGUZI NCHINI
- Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba amesema pamoja na demokrasia kuyumba, hawatasusia Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu
- Amesema, watahakikisha wana Wagombea katika maeneo yote ya Tanzania Bara na Visiwani
Comments
Post a Comment