#DODOMA :- WAZIRI MKUU AHIMIZA KUPUNGUZA UNYANYAPAAJI WA WAATHIRIKA WA UGONJWA WA UKIMWI
#habari
Leo katika ukumbi wa Pius Msekwa jijini dododma. Waziri mkuu * KASSIM MAJALIWA* amezindua kampeni ya kitaifa ya viongozi wa dini na bunge kuongeza jitihada za kupunguza unyanyapaa dhidi ya waathirika wa virusi vya UKIMWI.
Comments
Post a Comment