#habari
Wanajeshi na Polisi nchini El Salvador wamevamia Bunge wakishinikiza
kuidhinishwa kwa mkopo wa USD Million 109 ili kuwanunulia vifaa vya
kivita na vya kuzuia uhalifu, waliingia Bungeni wakati Rais Nayib Bukele
akijiandaa kulihutubia Bunge, Rais Bukele ameunga mkono uvamizi huo.
Comments
Post a Comment