Ubaguzi wa rangi wawatesa wachezaji FC Porto

#michezo
Mchezaji wa FC Porto ya Ureno Moussa Marega alizuiwa na wachezaji wenzake kutosusia mchezo baada kufanyiwa ubaguzi wa rangi na mashabiki katika ushindi wa FC Porto wa 2-1 vs Vitoria de Guimaraes, Marega aliwaonesha kidole cha kati mashabiki hao waliombagua.



"Nilitaka kuonesha (kidole cha kati) hawa wajinga waliokuja uwanjani kupiga kelele za kibaguzi, namshukuru refa kutotaka kunilinda na kunionesha kadi ya njano kwa sababu nimeitetea rangi ya ngozi yangu, natumai sitakuona tena uwanjani aibu yako"- Moussa Marega

Comments

Popular Posts