#siasa
Waziri Mkuu wa zamani Fredrick Sumaye amerejea CCM na kupokelewa na
Katibu Mkuu wa Chama hicho Dkt.Bashiru Ally, Sumaye alitoka CCM na
kuhamia CHADEMA kisha akakihama Chama hicho akisema hatojiunga na Chama
chochote kwa wakati huo hadi leo alipoamua kurudi CCM.
Comments
Post a Comment