Mbunge ataka wabakaji wahasiwe
#Bungeni
“Serikali haioni kwamba kuna haja ya kuongeza adhabu kwa wale watakaothibitika wamefanya kosa la ubakaji ili adhabu yao iwe kali kwa mfano mbakaji apewe adhabu ya kuhasiwa ili asije akarudia tena kosa kama hilo ambalo linaleta ukatili mkubwa sana kwa Watoto na Wanawake,” – Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Katimba.

Comments
Post a Comment