idadi ya waliofariki kwa virusi vya corona yafika 908 | China
#habari
Idadi ya waliofariki kutokana na virusi vya corona nchini China imeongezeka na kufikia Watu 908 , uwezekano wa vifo kuongezeka ni mkubwa.
•
Watu walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa wameongezeka na kufikia Watu 40,171 hii ni kwa China pekee, Watu 28,942 wanahisiwa kuwa na virusi hivyo na idadi ya wanaoruhusiwa Kutoka Hospitali baada ya kupatiwa matibabu imeongezeka na kufikia 2651.

Comments
Post a Comment