Idadi ya waliofariki kwa Corona yafikia watu 2004

#Update
Idadi ya waliofariki kutokana na virusi vya corona China imeongezeka na kufikia Watu 2004, uwezekano wa vifo kuongezeka ni mkubwa, walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa ni 74,185 hii ni kwa China pekee, wagonjwa 11,977 wako mahututi, wagonjwa waliotibiwa Hospitali na kuruhusiwa wameongezeka na kufikia 14,376

Comments

Popular Posts