GAMBO, waliosambaza video mitandaoni wote wakamatwe

#Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amemuagiza RPC Arusha kuwatafuta na kuwachukulia hatua wote walioshiriki kusambaza mitandaoni picha/video zinazoonesha ubovu wa Barabara katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro “ni sehemu ya uhujumu uchumi, Mamlaka zipo kwanini upeleke mitandaoni!”

"Changamoto ya Barabara ipo Duniani kote sio Tanzania pekee, hatusemi ukiona changamoto usiireport ila report kwenye Mamlaka zinazohusika, kwa DC,RC, Wizarani, ila mtandao utakusaidia nini?, waliosambaza picha za Ngorongoro wakamatawe, watuambie lengo lao”-GAMBO

Comments

Popular Posts