Rais Magufuri afanya uteuzi mpya wizara ya michezo

#habari

Rais John Magufuli amewateua makatibu wakuu wapya wa wizara tano akiwamo aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

Comments

Popular Posts