Mapokezi ya KIBA Tabora, Barabara zafungwa kwa muda

#Kiba

Mapokezi ya msanii Ally Salehe Kiba maarufu kama ALLY KIBA katika mkoa wa Tabora yamepelekea baadhi ya barabara kufungwa kufuatia na wingi wa watu waliojitokeza barabarani kuweza kumpokea.

Picha za matukio yote hizi hapa chini.....








Comments

Popular Posts