Washindi wa tuzo za FIFA wote hawa hapa, MESS kinara mchezaji bora wa mwaka

#Update
 
Tuzo ya mchezaji bora wa FIFA imekwenda kwa Lionel Messi
#TheBest FIFA Men's Player 2019


 Mlinda mlango wa Liverpool Alisson ameshinda tuzo ya kipa bora wa kiume wa FIFA 2019.


 Mshambuliaji Daniel Zsori ameshinda tuzo ya Goli bora la mwaka FIFA PUSKAS AWARD.


 Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amechaguliwa kuwa kocha bora wa FIFA 2019.



Comments

Popular Posts