Chirwa azinduka na matumaini makubwa AZAM FC.
#MICHEZO
Mchezi wa kimataifa wa Azam FC, Obrey Chirwa amezinduka na kuwaambia wapenzi na mashabiki wa Azam FC kuwa na imani na yeye pamoja na kumuamini.
Hata hivyo chirwa ameongezea kwa kuwaahidi mashabiki na wapenzi wa Azam FC kuwa watafanya vizuri katika mashindano ya kimataifa pamoja na ligi kuu Tanzania Bara.

Comments
Post a Comment