WAZIRI MWAKYEMBE ASIKITISHWA NA VIONGOZI WA TFF KUKIMBIA KIKAO
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesikitishwa na viongozi wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) Kuwa na viburi baada ya kuingia mitini na kutohudhuria kikao alichowaita leo hii kujadiliana kilichotokea Afcon na kufukuzwa kwa kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike.



Comments
Post a Comment