MAPOKEZI YA STARS LEO WAZIRI MWAKYEMBE KUZUNGUMZA
Timu ya taifa ya Tanzania TAIFA STARS imewasili leo ikitokea Misri baada ya kutokufanya vizuri katika mashindano ya AFCON. Timu imewasili ikiwa na viongozi kadhaa ambao waliambatana nao wakiwa huko Misri akiwemo mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh. Paul Makonda
Timu baada ya kuwasili imepokelewa na wadau mbalimbali wa michezo pamoja na kiongozi mwenye dhamana ya michezo DR. HARISON MWAKYEMBE.
Waziri wa michezo pia aliongezea kwa kusema kuwa " kwasasa timu ya taifa pamoja na viongozi wanajipanga kwa ajili ya kuweza kufanya vizuri katika mashindano ya timu za taifa kwa wachezaji wa ndani ambayo yataanza hivi karibuni".

Comments
Post a Comment