MANENO YA AJIBU KWA WANA JANGWANI
AMEANDIKA IBRAHIM AJIB
"Hakika Ilikua miaka miwili bora sana kwangu, ndani na nje ya uwanja, Yanga ilikua sehemu ya familia yangu.
Nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki wote, kwa kuniamini na kuniunga mkono katika kila jambo.
Ni mengi nimejifunza na nina amini yatanisaidia kunijenga zaidi kama mchezaji. Asanteni sana.
Hadi wakati mwingine tena, Wananchi

Comments
Post a Comment