zawadi ya wachezaji yanga kwa viongozi wao wapya
Wachezaji wa klab ya Young Africans wamesema zawadi yao kubwa watayotoa kwa viongozi wao wapya ni kuwaonyesha ushirikiano wa hali ya juu pamoja na kuchukua kombe la Azam Federation Cup AFC.
Ikumbukwe yanga SC leo itakuwa dimbani kukipiga na klabu ya Lipuli inayoongozwa na kocha Selemani Matola. Hii ni hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo
Ikumbukwe yanga SC leo itakuwa dimbani kukipiga na klabu ya Lipuli inayoongozwa na kocha Selemani Matola. Hii ni hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo

Comments
Post a Comment