Yaya Toure atundika daruga


TOURE ATUNDIKA DARUGA.

Kiungo wa zamani wa Manchester City na timu ya taifa ya Ivory Coast, Yaya Toure ametangaza kustaafu rasmi kucheza soka.



Toure amecheza jumla ya michezo 599 akiwa na vilabu mbali mbali ikiwemo FC Barcelona na Manchester City amechukua hatua hiyo ikiwa ni baada ya kuvunja mkataba na klabu ya Turkey.

Yaya amesema anataka kuangazia career yake katika ngazi ya ukocha mara baada ya kutangaza kustaafu soka.

Comments

Popular Posts