Ukweli wa Ajibu kuachwa na Mazembe

Inadaiwa kuwa TP Mazembe ilitaka kumsajili Ibrahim  Ajib kwa dau la Dola 30,000 ambazo ni karibu Tsh Mil 70 za Kitanzania na mshahara wa Dola 3,000 kwa mwezi ambazo ni zaidi ya Tsh Mil 7 kwa mwezi

Hata hivyo Ajib alitaka alipwe Dola 100,000 kama dau la usajili ambazo ni zaidi ya Tsh Mil 230 na mshahara wa Dola 5,000 ambazo ni zaidi ya Tsh Mil 10 kwa mwezi.

Comments

Popular Posts