Sita muhimu waongezewa mikataba Simba SC
1 Mchezaji Emmanuel Okwi ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia klabu ya Simba SC okwi alikua anahisishwa kuondo katika klabu ya Simba Mwishoni mwa Msimu huu.
2 Mchezaji Clotous Chota Chama yeye ameongeza mkataba wa miaka 3 ya kuendelea kuitumikia klabu ya Simba, Chama amehudumu vyema katika kikosi cha Simba Msimu huu
3 Baada ya Azam FC kutikisa kiberiti ili ipate huduma ya Nahodha Wa klabu ya Simba John Rafael Bocco hatimaye amesaini mkataba miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu ya Simba SC
4 Mnyarwanda Haruna Fadhili Hakizimana Niyonzima na yeye ameongeza kandarasi ya Miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu ya Simba SC
5 Kiungo Fundi Jonas Gerald Mkude baada ya Kuhusishwa kuwa ataachana na kikosi cha Mabingwa watetezi hao nayeye amesaini Kandarasi ya Miaka Miwili kuitumikia klabu ya Simba SC
6 Golikipa Mwenye mafanikio makubwa Nchini Tanzania Aishi Salum Manula amesaini kandarasi ya Miaka miwili kuitumikia klabu ya Simba SC
zoezi litaisha rasmi 23.05.2019



Comments
Post a Comment