Sanchez kutua Juventus

HIVI PUNDE!!
- Miamba wa Soka Nchini Italia, Klabu ya Juventus na Inter Milan, vyote kwa pamoja vimeonesha nia ya kutaka kumsajili Mshambuliaji wa Kimataifa wa Chile na Klabu ya Manchester United, Alexis Sanchez.


.
- Muwakilishi wa Sanchez, Fernando Felicevic amekutana na wote, Mkurugenzi was Juventus, Fabio Paratici na Mkurugenzi wa Inter Milan, Piero Ausilio.
#Updates #transfers

Comments

Popular Posts