Mingange: Sijapata kuona ligi mbovu kama ligi kuu Tanzania Bara
-Kocha wa muda wa klabu ya Azam FC, Meja Mstaafu Abdul Mingange baada ya mchezo wa jana dhidi ya Yanga alisema kuwa hajawahi kuona ligi mbovu duniani kama ya msimu huu kwa Tanzania Bara.
"Nilichokiona kwa ligi ya msimu huu kimenistaajabisha sana, Ligi mbovu sijawahi kuona tangu nianze kusimamia timu za mpira ligi ambayo haina mdhamini, ligi ambayo haina sheria, ligi ambayo haifuati utaratibu, ligi ambayo mmoja ana mechi 20 mwingine ana mechi 5 sijawahi kuona ligi ya namna hivi"
"TFF wanapaswa kuliangalia hili kwa afya ya maendeleo ya soka, kwa namna hii si rahisi kumpata bingwa ambaye ni halali mtu anabakiza mechi nyingi anacheza tu amalizie na timu zetu nyingi masikini zinazichezea tu zinapeleka timu uwanjani bila kufanya mazoezi"
Alisema
Abdul Migange Kocha mkuu wa Azam FC

Comments
Post a Comment