Mengi kuzikwa Alhamisi
Mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa makampuni ya IPP Dr. Regnald Abraham Mengi unatarajiwa kuwasiri Leo saa 8 katika uwanja wa ndege wa mwalimu Julius K. Nyerere na kwenda kuhifadhiwa katika hospital ya LUGALO
Siku ya jumanne mwili utaagwa na siku ya jumatano mwili utasafirishwa kwenda mkoani Kilimanjaro, Machame kijiji cha NKUU.
Siku ya Alhamisi mwili utazikwa nyumbani kwa marehemu hapo hapo katika kijiji cha NKUU.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pepa peponi. Amiin

Comments
Post a Comment