Maneno ya kocha Patrick Aussems kwa Viongozi na Mashabiki wa Simba

--- "Nina imani na uongozi utafanya kazi nzuri katika usajili huu kama vile ambavyo ripoti inasema kuhakikisha wanapatikana wachezaji wazuri na wenye mahitaji kulingana na makosa ambayo tulikuwa tunayaonesha msimu huu," alisema.
.
--- "Sehemu ya maandalizi bora ni mwanzo mzuri wa msimu ndio maana tumelenga kufanya maandalizi yetu mapema na mahala sahihi kama ambavyo ilikuwa msimu uliopita na kufanya vizuri na kufikia malengo mapya ya timu kama ilivyokuwa msimu huu.
.
--- "Lakini nisiache kuwapongeza mashabiki wote wa Simba kwani haya mafanikio msimu huu yamechangiwa na wao na tunaomba msimu ujao kuongeza nguvu kwani wakifanya hivyo wachezaji na benchi la ufundi tunazidi kuhamasika;.
:
- Maneno ya Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba SC Mbelgiji Patrick Aussems Ambaye ataondoka nchini alfajiri kesho Jumamosi kuelekea kwao  kwa ajili ya mapumziko kabla ya kuanza maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Michuano ya Kimataifa.. Lakini anaondoka wakati ripoti nzima kawaachia Viongozi wa Klabu yake..
#Updates

Comments

Popular Posts