Samatta kucheza UEFA

   
   
 

-Klabu ya KRC Genk imefikisha pointi 50 ikiwa inaongoza kwenye msimamo wa sita bora huku klabu ya CLub Brugge ikiwa nafasi ya pili na pointi 41 ila Genk imebakiza mechi 3 na Club Brugge imebakiza mechi 4 ili Genk kuwa mabingwa inahitaji ushindi wa mechi moja na sare moja.




-Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayecheza KRC Genk baada ya jana kufunga goli na sasa anaendelea kuwa kinara wa ufungaji wa magoli kwa kufikisha magoli 23 huku anayemfuata ni Hamdi Harbaoui wa Zulte Waregem mwenye magoli 18.

#BelgiumFirstDivisionA.

Comments

Popular Posts