Kapombe: Zana ajipange
Beki wa kulia wa timu ya Simba Shomari Kapombe amesema " Suala la yeye kuanza katika kikosi cha kwanza kama ilivyokuwa hapo awali kabla ya kupata majeruhi yaliyo muweka nje muda mrefu, ni jambo ambalo anamuachia mwalimu endapo ataona anaweza kuanza ni sawa"
Aidha kapombe amesema kwa Sasa yupo fiti na ameanza mazoezi ya pamoja na wenzake kujiandaa na mchezo dhidi ya Coastal Union uwanja wa taifa Dar es Salaam.
Aidha kapombe amesema kwa Sasa yupo fiti na ameanza mazoezi ya pamoja na wenzake kujiandaa na mchezo dhidi ya Coastal Union uwanja wa taifa Dar es Salaam.

Comments
Post a Comment