Jkt Queens mabingwa wapya ligi kuu ya wanawake Tanzania Bara
Timu ya soka ya wanawake ya Jkt Queens imetwaa ubingwa wa ligi kuu ya wanawake Tanzania Bara
Jkt Queens hawajapoteza mchezo hata mmoja tangu kuanza kwa ligi hiyo mpaka kuwa mabingwa.
Hongereni Jkt Queens kwa kuwa mabingwa wa ligi ya wanawake.
Ikumbukwe maandalizi mazuri ya timu ya Jkt Queens ndio yaliyopelekea timu hiyo kufanya vizuri katika mashindano hayo.
Ni vyema kuwa na maandalizi mazuri kwa timu shiriki katika msimu ujao wa ligi, maandalizi mazuri ya timu shiriki ndio yatakayopelekea ligi hiyo kuwa bora.



Comments
Post a Comment