je wajua......?

Ubongo' wa binadamu una hifadhi (Storage) ya kutosha ambayo inaweza kutunza kipindi cha televisheni chenye zaidi ya masaa milioni 3. Ndomaana kuna watu wanaweza kukesha usiku mzima wanaangalia Muvi za series na asisahau tukio hata moja katika Episode husika🤔🤔🤔🤔🤔

Comments

Popular Posts