Herry Sasii atangazwa kuwa mwamuzi wa kati... Sevilla vs Simba


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza Waamuzi watakaochezesha mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa Simba dhidi ya Sevilla ya Hispania itakayochezwa Uwanja wa Taifa Mei 23,2019.



Muamuzi wa Katikati atakua Herry Sasii,Muamuzi msaidizi namba moja Mohammed Mkono kutoka Tanga,Muamuzi msaidizi namba mbili Soud Lila wa Dar es Salaam na Muamuzi wa akiba atakuwa Jonesia Rukyaa kutoka Kagera.

Comments

Popular Posts