Golikipa wa timu ya taifa ya MALI ajiondoa Kambini mwenyewe...
Goli Kipa wa timu ya taifa ya Mali Mamadou Samassa,amejiondoa katika kambi ya timu ya taifa ya nchi hiyo inayojiandaa na AFCON2019 ,baada ya kocha mkuu Mohamed Magasouba kukataa ombi lake la kuwa kipa namba moja wa timu ya Mali.
Mamadou Samassa anayeichezea klabu ya Troyes ya Ufaransa ana uraia nchi mbili Mali na Ufaransa.
Nafasi yake imezibwa na kipa wa miamba wa Afrika TP Mazembe Ibrahim Mounkoro.
Mamadou Samassa anayeichezea klabu ya Troyes ya Ufaransa ana uraia nchi mbili Mali na Ufaransa.
Nafasi yake imezibwa na kipa wa miamba wa Afrika TP Mazembe Ibrahim Mounkoro.

Comments
Post a Comment