Alichokisema kocha wa simba baada ya mchezo kumalizika dhidi ya Sevilla


"Nilifanya mabadiliko ili kila mchezaji apate nafasi ya kucheza na moja ya timu kubwa Ulaya, lakini baada ya mabadiliko mambo yalibadilika. Kuifunga Sevilla magoli manne ni jambo kubwa sana na najua hata wao hawakutegemea"- Kocha Patrick Aussems.

Comments

Popular Posts