Alichokisema kocha wa simba baada ya kutua Dar leo
Kocha mkuu wa klabu ya simba maarufu kwa Jina la uchebe amesema " mashabiki na wapenzi wa simba wakae mkao wa kupokea kombe lao kwa hatarajii kupoteza mchezo wowote ulio mbele yake"
Aidha uchebe amesema anaamini uwezo wa wachezaji wake na pia anatambua kuwa wapenzi na mashabiki wa simba wanahitaji kombe.
Ikumbukwe simba imebakisha michezo 8 nyuma ya yanga ambao wamebakisha michezo 4. Yanga inaongoza ligi kwa jumla ya alama 77 ikifuatiwa na simba SC ikiwa na alama 75.

Comments
Post a Comment