Ajibu: Mpira ni kazi yangu nitaenda popote


KATIKA toleo la jana la Gazeti la Spoti Xtra, mshambuliaji Ibrahim Ajibu wa Yanga alinukuliwa akisema hivi: “Kwangu mimi mpira ni kazi yangu, timu ambayo inanifuata ikafuata utaratibu nitaenda, sina tatizo lolote…”




Kauli hiyo aliitoa baada ya kuulizwa juu ya uhamisho wake kwenda Simba, sasa Gazeti la Championi Ijumaa limefahamishwa kuwa staa huyo ameshafikia hatua nzuri ya dili lake hilo na yupo njiani kurejea Simba kwa dau la shiligi milioni 85.

Comments

Popular Posts