CCM WAJIPUNGUZA KATIKA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR


Mwanachama wa CCM, Hussein Ibrahim Makungu amejitoa katika mchuano wa kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama hicho kugombea Urais Zanzibar, kwa kile alichoeleza kuwa anakipunguzia chama chake kazi ya kuchuja wanachama katika kutafuta mgombea.
.
.
#MakiniUpdate 

Comments